Video Mpya

VideoMPYA: Nay wa Mitego kafungua mwaka na ‘mbele kwa mbele’

on

Ni bidhaa jingine mpya kutoka kwenye Bongofleva na Mmiliki ni Nay wa Mitego, Director ni Hanscana na humo ndani miongoni mwa walioonekana ni Roma Mkatoliki na Mr. T Touch, bonyeza play hapa chini kuitazama mwanzo mwisho

.

.

Soma na hizi

Tupia Comments