Habari za Mastaa

Nay wa Mitego akamatwa na Polisi Hotelini

on

Kutoka Morogoro asubuhi hii Msanii wa Bongofleva Nay wa Mitego ambaye hivi karibuni ametoa wimbo mpya anaodai amezungumza ukweli wa moyo wake kwa kinachoendelea, amethibitisha kukamatwa na Polisi.

Nay ameandika kwenye Instagram yake “Nimekamatwa kweli muda huu nikiwa Hoteli Morogoro baada ya kumaliza kazi yangu iliyonileta, napelekwa Movemero Police, Nawapenda Watanzania wote #truth #Wapo”

millardayo.com na AyoTV zinaendelea kuitafuta Polisi Morogoro kwa ajili ya kujua chanzo cha Nay wa Mitego kukamatwa.

VIDEO: Tembo anaetunzwa Kilimanjaro, anakunywa maziwa ya Tsh. 200000 kila siku, tazama kila kitu kwenye hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments