Spika wa Bunge la Tanzania Job Ndugai amewataka Wabunge hususani wanaume kuacha mara moja tabia ya kutelekeza watoto kwakuwa hadi sasa ameshapokea malalamiko mengi ya aina hiyo katika ofisi yake zikituhumu Wabunge wake kuhusika na matukio hayo ya utelekezaji.
Spika Ndugai hajamuacha bure Lema “ana msongo wa mawazo”