Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

Yafahamu haya kuhusu Barack Obama? ‘kula mbwa, kuvuta bangi’

on

Leo June 20, 2019 Nakusogezea mambo kumi kumhusu Rais Mstaafu wa Marekani Barack Hussein Obama ambayo kwa namna moja ama nyingine unaweza ukawa huyafahamu.

1. Aliwahi kukubali kwamba alishawahi kujaribu kutumia cocaine na marijuana akiwa kijana

2. Kila siku usiku, huwasomea wanae vitabu vya hadithi, amesoma vitabu vyote vya Harrypotter pamoja na mwanae Malia.

3. Alimuahidi mkewe ataacha kuvuta sigara akipata urais lakini aliendelea mpaka mwaka 2010 alipotangaza kuacha sigara

4. Hupenda kusikiliza muziki anapofanya kazi, Humsikiliza sana Jay z na Steve Wonder na huchat na msanii Jay Z.

5. Hunyoa nywele zake mara moja kila wiki kwa dola 21, kinyozi wake anaitwa Zariff.

6. Ana uwezo wa kunyanyua uzito wa kilo Kilo 100 akiwa kwenye mazoezi! (usilete fujo mbele yake).

7.Kati ya vitu vinavyomuudhi zaidi, anachukia sana akiona mtu amevaa suruali chini ya kiuno (mlegezo) na kuonyesha nguo zake za ndani.

8. Akiwa chuo cha havard aliwahi kuomba picha yake ionekane kwenye kalenda ya shule lakini ilishindikana kwan wanawake wote waliokuwepo kwenye kamati waliipinga picha yake (pengine wanajuta sasahivi).

9.Alishawahi kula nyama ya mbwa, nyoka na panzi akiwa Indonesia alikokulia.

10. licha ya kupenda mpira wa kikapu, Obama anamiliki pea moja ya gloves za ndondi zilizosainiwa na Mohammed Ally.

Soma na hizi

Tupia Comments