Top Stories

Ole Gunnar Solskjaer atumia mfano wa Mlima Kilimanjaro kuhamasisha wachezaji

on

Kocha Ole Gunnar Solskjaer akongea baada ya game ya Manchester United dhidi ya Liverpool ametumia mfano wa Mlima Kilimanjaro kuhamasisha wachezaji wa Manchester United.

“Imefanyika kazi kubwa na uvumilivu kufika hapa tulipo. Lakini ni kama kupanda Mlima Kilimanjaro au Everest hadi kileleni kisha ukakaa na kupumzika, unajua ni nini kitatokea?-utaganda na kufa”– Ole Gunnar Solskjaer, Kocha wa Manchester United

MAGUFULI AMVAA KITILA MKUMBO HADHARANI “NILIKOSEA KUCHAGUA VIONGOZI, KWAKO WANAFUNZI WANAKAA CHINI”

Soma na hizi

Tupia Comments