Habari za Mastaa

Ommy Dimpoz karekodiwa maneno yake ya mwisho kuhusu Nay wa Mitego …(+Audio)

on

Staa wa Bongo fleva Ommy Dimpoz alionyesha kukwazika baada ya kusikia amechanwa kwenye moja ya mstari wa  wimbo mpya wa Nay wa Mitego ‘Shika adabu yako, hali hiyo ikampelekea kuandika ujumbe kupitia account yake ya Instagram, lakini hapa kuna mengine hakuyafunguka.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments