on air with millardayo

On Air: ‘Nimekuja East Africa kwa sababu wanapenda muziki mzuri’ Mino Ezoh

on

Leo April 4 2017 kwenye On Air With Millard Ayo nakukutanisha na Mino Ezoh ni msanii kutoka Nigeria lakini anaishi nchini Germany amekuja Tanzania. kwa ajili ya kufanya Media Tour na ametoa sababu ya kwa nini amekuja Tanzania.

Nimekuja East Africa kwasababu wanapenda Good Music inatakiwa ifike mahali na sisi tufanye kitu Africa tuigwe na wasanii wakubwa duniani‘>>>Mino Ezoh

Ulimiss hii ‘Nimepigiwa simu na wanaoimba HipHop ngumu wameniambia hii ni noma’ Jay Moe itazame hii video hapa chini…

Soma na hizi

Tupia Comments