Premier Bet
TMDA Ad

Michezo

Manny Pacquiao tayari kaingia gym kujiandaa na pambano lake na Mayweather (Pichaz)

on

Philippine boxing icon Manny Pacquaio trNi pambano ambalo mashabiki wengi wa ngumi duniani wanalisubiri kwa hamu kubwa, kumuona Floyd Mayweather na Manny Pacquiao kwenye pambano litakalofanyika May 2 Las Vegas, Marekani.

Manny Pacquiao ameanza kujiandaa tayari, hataki kushindwa na mpinzani wake mwenye vioja vingi, Floyd Mayweather.

pacBondia huyo amekuwa akifanya mazoezi katika mitaa ya jiji la Los Angeles kwa siku ya tatu mfululizo, akiwa ameongozana na mbwa wake pamoja na timu yake yote ya ufundi wakati wote wa mazoezi.

man

man4

Pambano kati ya wakali hawa linazungumziwa kwa mengi ikiwemo hela nyingi ambayo imewekwa mpaka wamekubali kupambana.

sukumNitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta Facebook

Tupia Comments