Premier Bet
TMDA Ad

Habari za Mastaa

Kilichofanya Baba Levo ajutie kumsomesha mwanae International School #FIXzaBABALEVO

on

laughing

Fix za Baba Levo iliyosikika jana kwenye AMPLIFAYA @CloudsFM Baba Levo anasema mtoto wake Levo amemshinda, anampa tabu kisa ni ishu ya kumsomesha International School, anamuongelesha kiingereza ambacho baba mtu hawezi hata kumjibu.

Kama ilikupita kwenye AMPLIFAYA isikilize hapa kwa kubonyeza play.

Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta Facebook

Tupia Comments