Bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo leo Septemba 2, 2021 amepima uzito akiwa na mpinzani wake Julius Indongo kutokea Namibia ambapo wawili hao wanatarajia kuonesha tambo zao September 3 2021 katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam.
Na imeelezwa kwamba litakuwa pambano la round 12 la uzito wa 69 Kg.

.

.

.

.

.

.

.

.

.
TAZAMA BONDIA HASSAN MWAKINYO ALIVYOMPIGA KO MAYALA WA ANGOLA BILA UBISHI