Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Picha:Kanye West ajenga mjengo kwenye Uwanja, kuelekea listening party “DONDA”
Share
Notification Show More
Latest News
MAREKANI:Makamu wa rais Kamala Harris kukutana na viongozi wa Ghana, Tanzania na Zambia.
March 24, 2023
China yapinga uuzwaji wa sehemu ya programu yake “TikTok” kwa kulazimishwa na kutishiwa kufungiwa.
March 24, 2023
20 wafariki kutokana na virusi vya Marburg nchini E.Guinea.
March 24, 2023
INDIA: Sheria mpya, kutobadili imani ya kidini yazua gumzo.
March 24, 2023
Ndoa za jinsia moja zamuibua Makamu wa Rais, atoa tamko ‘hata wanyama hawafanyi’
March 24, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Habari za Mastaa > Picha:Kanye West ajenga mjengo kwenye Uwanja, kuelekea listening party “DONDA”
Habari za Mastaa

Picha:Kanye West ajenga mjengo kwenye Uwanja, kuelekea listening party “DONDA”

August 24, 2021
Share
1 Min Read
SHARE

Ni headlines za Rapper kutokea kwenye Hip Hop, Kanye West ambae mbali na kwamba ameshafanya hafla mbili za usikilizwaji wa album yake mpya iitwayo Donda nchini Marekani.

.

Sasa time hii anafanya hafla ya tatu na unaambiwa staa huyo ameamua kujenga mjengo ndani ya uwanja wa Chicago Soldier Field Stadium  unaofanania na aliokuwa akiishi akiwa utotoni.

.

Inaelezwa kwamba Kanye ameamua kufanya hivyo kutokana na nyumba aliyokuwa akiishi utotoni ina historia kubwa juu ya maisha yake.

Sherehe ya usikilizwaji wa album hiyo ya Donda awamu ya tatu inaratajiwa kufanyika wiki hii Agosti 27, 2021.

Hii ndio orodhaa ya wasanii walioshirikishwa katika album hiyo mpya ya Kanye West

Full list of album features:

  • Pusha T
  • Don Toliver
  • Kid Cudi
  • Fivio Foreign
  • Donda
  • Jhe Rooga
  • Lil Yachty
  • Playboi Carti
  • Travis Scott
  • Baby Keem
  • Young Thug
  • Vory
  • Kaycyy
  • Roddy Ricch
  • Lil Durk
  • 070 Shake
  • Westside Gunn
  • Conway the Machine
  • Jay Electronica
  • Sheek Louch
  • Jadakiss
  • Styles P.
  • Larry Hoover Jr.
  • Pop Smoke
  • Francis and the Lights
  • Jay-Z
  • Sunday Service Choir
  • The Weeknd
  • Lil Baby

IBRAH KAFUNGUKA BIFU NA RAYVANY KUMTAKA FAYMA, KUTOKA NA PAULA “BRAND YANGU KUBWA KULIKO YEYE”

You Might Also Like

Sina Tatizo na yeye, mteule wa Rais hanuniwi” Steve Nyerere Kafunguka (+video)

Rihanna & Asap rocky waipanga ndoa yao ya siri , barbados hivi karibuni

MTOTO WA BECKHAM APOST SAA YA MIL 97, ANYWA POMBE NA BABA YAKE

MADONNA AWAJIBU MASHABIKI MUONEKANO WAKE MPYA BAADA YA UPASUAJI!

Exclusive: Dully Vanny kwa uchungu azungumzia video chafu aliyotajwa, amtaja diamond na mama yake

TAGGED: Kanye West
Edwin TZA August 24, 2021
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Mwanamke anaechoma na kuuza Mkaa kwa Baiskeli “Wanawake wasichague kazi” (video+)
Next Article Mrembo Gyakie katuletea “Need Me” unaweza kuitazama hapa (Video+)
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

MAREKANI:Makamu wa rais Kamala Harris kukutana na viongozi wa Ghana, Tanzania na Zambia.
Top Stories March 24, 2023
China yapinga uuzwaji wa sehemu ya programu yake “TikTok” kwa kulazimishwa na kutishiwa kufungiwa.
Top Stories March 24, 2023
20 wafariki kutokana na virusi vya Marburg nchini E.Guinea.
Top Stories March 24, 2023
INDIA: Sheria mpya, kutobadili imani ya kidini yazua gumzo.
Top Stories March 24, 2023

You Might also Like

Top Stories

MAREKANI:Makamu wa rais Kamala Harris kukutana na viongozi wa Ghana, Tanzania na Zambia.

March 24, 2023
Top Stories

China yapinga uuzwaji wa sehemu ya programu yake “TikTok” kwa kulazimishwa na kutishiwa kufungiwa.

March 24, 2023
Top Stories

20 wafariki kutokana na virusi vya Marburg nchini E.Guinea.

March 24, 2023
Top Stories

Ndoa za jinsia moja zamuibua Makamu wa Rais, atoa tamko ‘hata wanyama hawafanyi’

March 24, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?