AyoTV

‘Msisite kuwatangaza hadharani baada ya kuwakamata’ – Waziri mkuu (+VIDEO)

on

Waziri mkuu wa Tanzania Kasim Majaliwa leo amefungua Baraza la Taifa la Kudhibiti Dawa za Kulevya ambalo linaundwa na Wajumbe mbalimbali wakiwemo Mawaziri.

Waziri Mkuu Majaliwa aliwaambia wajumbe kuwa wasisite kuwatangaza hadharani Wahusika wote wanaofanya biashara ya dawa za kulevya baada ya kuwakamata na kujiridhisha…… zaidi bonyeza play kwenye hii video hapa chini kumtazama

VIDEO: Waziri Mkuu Majaliwa alivyowataja Diamond Platnumz na Alphonce Simbu Bungeni, tazama kwenye hii video hapa chini

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments