AyoTV

‘Kuanzia March 1 pombe za VIROBA Marufuku Tanzania’ – WAZIRI MKUU

on

Waziri mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa wakati akiwa katika siku ya pili ya ziara yake mkoani Manyara, amezungumza na wakazi wa mji mdogo wa Mererani Wilayani Simanjiro na kuizungumzia ishu pia ya pombe za VIROBA.

>>>”Tumekaa na wenye viwanda na kukubaliana kuwa wanaotengeneza Pombe waziweke katika ukubwa unaokubalika, sasa hivi viroba vimeenea kila kona hata watoto wa shule za msingi wanatumia kwa sababu ni rahisi kuweka mfukoni na kutembea navyo…. kuanzia tarehe moja March, tutakaemkamata ameshika pombe ya viroba, sisi na yeye.”

Unaweza kutazama video yake akizungumza kwa kubonyeza play hapa chini

VIDEO: Waziri Mkuu alivyowataja Diamond na Alphonce Simbu Bungeni? Bonyeza play hapa chini

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako Millard Ayo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments