AyoTV

FULL VIDEO: Awamu ya pili ya Makonda na dawa za kulevya, ajibu pia kuhusu Wema na Masogange

on

Mkuu wa mkoa Dar es salaam Paul Makonda amesimama tena mbele ya Waandishi wa habari Dar es salaam leo February 8 2017 kwenye sakata la ishu ya Dawa za kulevya ambapo ameiita hii ni awamu ya pili ya kuwataja.

Pamoja na kuitaja orodha yenyewe, Waandishi wa habari hawakusita kumuuliza kuhusu mwigizaji Wema Sepetu kutoonekana na wenzake Mahakamani jana? vipi kuhusu kinachoandikwa kuhusu yeye na Masogange? majibu yote yapo kwenye hii video hapa chini

VIDEO: Walivyofikishwa Mahakamani T.I.D, Rachel, Petitman na wengine, tazama kwenye hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments