Habari za Mastaa

HARUSI INANUKIA!! Profesa Jay kamalizana na Send Off

on

Tunae Mbunge wa Mikumi Joseph Haule maarufu kama Profesa Jay ambae kwa kitambo tumekua tukimuona akiwa na Ubavu wake lakini sasa wameamua kuzikamilisha hatua muhimu zaidi kuhalalisha penzi lao.

Usiku wa July 6 2017 zilitoka picha zikimuonyesha Profesa Jay na Ubavu wake huyo kwenye Send Off ambapo Profesa kwenye Twitter yake alipost picha hii hapa chini na kuandika “SEND OFF.. Asante MUNGU!!”

millardayo.com na AyoTV zinawatakia kila ka kheri kwenye harusi yao pamoja na maisha yao ya ndoa.

ULIPITWA? Diamond Platnumz afunguka…. “Mimi na Wema Sepetu tunakutana sana” 

VIDEO: Kwanini Roma hayupo tena Instagram? ataja matatu ya Rais Magufuli na Nay wa Mitego… bonyeza play hapa chini kutazama

Soma na hizi

Tupia Comments