Habari za Mastaa

Kingine cha kufahamu kuhusu reality TV show ya Peter wa P Square- ‘Dance Nigeria with Peter’

on

pt twoYes!! Kundi la P Square toka Nigeria lina historia yake kubwa na kuheshimiwa pia kwenye muziki wa Afrika.. Peter Okoye wa P Square alishea na watu wake kwenye ukurasa wake wa Instagram post akiwa kwenye studio za kituo cha BBC London, akiigiza kama repoter wa kituo hicho.

Haikumaanisha ndio kawa ripota kweli.. bado ni yeye na muziki, sasa hivi unaambiwa nae kaamua kuweka nguvu upande mwingine, Peter ni dancer mzuri sana.. anajua kwamba kuna watu mtaani wa vipaji vya kucheza kama yeye, amezindua reality show yake ya TV inayoitwa ‘Dance Nigeria with Peter’.

pt twoPeter amesema anafurahi kuwa na project hiyo ambayo kwake yeye ni ishara ya uzalendo kuanzia nyumbani kwao.

Bonyeza play kuangalia kipande cha video alichoshea na sisi kwenye ukurasa wake wa Instagram.

www.dancenigeria.com

A video posted by Dance Nigeria (@dancenigeria) on

Hapa unaweza kipisi cha video ya promo ya show hiyo…

millardayo.com ndio sehemu yako kuzipata story zote mtu wangu, unaweza kuwa karibu zaidi na mimi kwa kujiunga kwenye Facebook, Twitter na Instagram pia zitakufikia zote mtu wangu, jiunge hapa >>>twitter Insta Facebook

 

Soma na hizi

Tupia Comments