Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri amewakemea Viongozi wa Serikali katika Mkoa wake wanaopotosha tafsiri ya vitambulisho vya wafanyabiashara wadogo ni baada ya baadhi ya Viongozi kupinga zoezi hilo.
“Kiongozi aliyepewa wajibu wa kusimamia asiposimama kwenye nafasi tutamzibua, hoja hii imeletwa na Serikal halafu wewe unaipinga maana yake nini?” RC MWANRI
DC UYUI AMUIGA BOSS WAKE RC MWANRI, ATAJA WANAOPATA VITAMBULISHO