Mtanzania Franco Timanywa amesafiri Mabara zaidi ya matatu Duniani baada ya kurudi Tanzania amekuja na idea ya kutengeneza Mji mpya wa Mwanza na anasema kutakuwa na Viwanda vya kutengeneza magari, simu, kumbi kubwa za mikutano ya Kimataifa pamoja na sehemu ya makazi ya kisasa.
WAKIMBIZI WAFURAHI KUMUONA ALIEMUOMBA RADHI RAIS MAGUFULI IKULU