Habari za Mastaa

Ni zamu ya kuisikiliza #SOPHIA remix nyingine.. Hii ni fleva ya Reggae iliyofanywa na Quick Rocker (Audio)

on

RockaBen Pol alitoa hit single ya #Sophia, YES.. mapokezi yalikuwa poa sana kwa huyu mtu wetu, baadae tukaisikia Sophia aliyorudia msanii Peter Msechu.

Unatamani kuisikia ya Quick Rocker?

Hii ni ndio aliyoifanya yeye.. #Sophia kwenye fleva ya muziki wa reggae yani.. enjoy mtu wangu…

millardayo.com ndio sehemu yako kuzipata story zote mtu wangu, unaweza kuwa karibu zaidi na mimi kwa kujiunga kwenye Facebook, Twitter na Instagram pia zitakufikia zote mtu wangu, jiunge hapa >>>twitter Insta Facebook

Tupia Comments