Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Alichokikuta Rais Magufuli baada ya kufanya ziara ya kushitukiza bandari DSM leo
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo March 27, 2023
March 27, 2023
Picha: Kutoka kwenye Usiku wa Malkia wa nguvu Mlimani City Hall DSM
March 26, 2023
Hhayuma afunguka uwepo wa Baraza la ardhi Hanang, ‘Nilitaka kushika Shilingi ya Waziri Bungeni’
March 26, 2023
Picha: Mfugaji akamilisha Mjengo wake, aishukuru Kampuni ya Asas kwa kufanikisha ndoto zake
March 26, 2023
Waziri Jafo acharuka, atoa maagizo Mbweni “Wachimba Mchanga, kamata gari, hatua zichukuliwe”
March 26, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Mix > Alichokikuta Rais Magufuli baada ya kufanya ziara ya kushitukiza bandari DSM leo
Mix

Alichokikuta Rais Magufuli baada ya kufanya ziara ya kushitukiza bandari DSM leo

March 23, 2017
Share
1 Min Read
SHARE

Rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli leo alhamisi ya March 23 2017 amefanya ziara ya kushitukiza katika bandari ya Dar es Salaam, Rais amefanya ziara hiyo akiwa na lengo la kuthibitisha kama maagizo yake ya kusimamia na kudhibiti udanganyifu wa mizigo inayoingia.

Katika ziara hiyo Rais Magufuli ameshuhudia makontena 20 ya mchanga wenye madini kutoka kwenye migodi iliyopo kanda ya ziwa ambayo yamezuiliwa kusafirishwa nje ya nchi tangu alipotoa agizo la kupiga marufuku usafirishaji wa mchanga nje ya March 2 2017.

Hata hivyo Rais Magufuli amemuagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP – Ernest Mangu na vyombo vingine vya usalama kuhakikisha mchanga wa madini unashikiliwa popote ulipo mpaka hapo uchunguzi wa utakapofanyika kubaini ukweli.

Pamoja na hayo Rais Magufuli ameona udanganyifu wa baadhi ya wafanyabiashara ambao wameingiza makontena huku nyaraka zikiandika kuwa yamebeba mitumba lakini yalipofunguliwa yalionekana yamebeba magari ya kifahari.

“Nataka niwaambie nchi yetu inachezewa mno, nimekuja kuyaona haya makontena kama yapo na kweli nimeyaona, sasa utaratibu utakapokamilika nataka Watanzania na dunia nzima ione kilichomo ndani kama ni mchanga kweli ama dhahabu” >>>Rais Magufuli.

AyoTV MAGAZETI: Polisi Dar mbaroni wizi mafuta ya Bombadier, Mauaji ya kinyama Dar

You Might Also Like

USAID Breakthrough ACTION Launches SPARK Program

Wataalam wa maji watoa wito wa kukabiliana na uhaba wa maji

Kamati ya Bunge ya Miundombinu imeridhishwa na ujenzi wa BRT

Waziri Mkuu awataka vijana na Wanawake kuchangamkia program ya IMBEJU

AudioMPYA: Joshua Ngelendo anakualika kusikiliza “Jemedari”

TAGGED: Dk. Magufuli, John Magufuli
Rama Mwelondo TZA March 23, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article FULLVIDEO: Alichokizungumza Nape Nnauye alipokutana na Waandishi wa Habari
Next Article VIDEO: Maamuzi ya JPM baada ya kufanya ziara ya kushitukiza bandari DSM
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo March 27, 2023
Magazeti March 27, 2023
Picha: Kutoka kwenye Usiku wa Malkia wa nguvu Mlimani City Hall DSM
Top Stories March 26, 2023
Hhayuma afunguka uwepo wa Baraza la ardhi Hanang, ‘Nilitaka kushika Shilingi ya Waziri Bungeni’
Top Stories March 26, 2023
Picha: Mfugaji akamilisha Mjengo wake, aishukuru Kampuni ya Asas kwa kufanikisha ndoto zake
Top Stories March 26, 2023

You Might also Like

Top Stories

Picha: Kutoka kwenye Usiku wa Malkia wa nguvu Mlimani City Hall DSM

March 26, 2023
Top Stories

Hhayuma afunguka uwepo wa Baraza la ardhi Hanang, ‘Nilitaka kushika Shilingi ya Waziri Bungeni’

March 26, 2023
Top Stories

Waziri Jafo acharuka, atoa maagizo Mbweni “Wachimba Mchanga, kamata gari, hatua zichukuliwe”

March 26, 2023
Top Stories

Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Mwanza limefanya misa Takaridu ya Kumuombea Hayati JPM

March 26, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?