Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemtia hatiani raia wa China, Yang Feng Glan ‘Malkia wa Tembo’ na wenzake wawili ktk kesi ya biashara ya Meno ya Tembo ya vipande 706 vyenye thamani ya Bilioni 5.4, hukumu imeahirishwa baada ya dakika 30 ili washitakiwa wajitetee kabla ya kuhukumiwa.
HATMA YA MALKIA WA TEMBO KUJULIKANA LEO