Vituko/ Comedy

FULL VIDEO: MC Pilipili na Eric Omondi walivyochekesha DSM

on

Usiku wa June 26, 2017 katika Ukumbi wa King Solomon  Hall Masaki DSM kulikuwa na onyesho kubwa la Standing Comedy ambapo mastaa wa vichekesho kutoka Afrika Mashariki walikutana kuwavunja mbavu mashabiki wao.

Miongoni mwa mastaa waliowavunja mbavu mashabiki wao na kuacha gumzo midomoni mwa watu ni Eric Omondi wa Kenya na MC Pilipili wa Tanzania.

Shuhudia hapa kwenye VIDEO hii kwa kubonyea PLAY!!!

Mtanzania aliyepewa mtaa Zambia tangu 1981 hadi leo, kaipokeaje ya Wanyama Tanzania!!!

Soma na hizi

Tupia Comments