Video Mpya

VideoMPYA: French Montana ft Cardib, Post Malone & Rvssian ‘Writing on the wall’

on

Ni Headlines za rapper mwenye asili ya Morocco anaeishi nchini Marekani  French Montana time amekuja na hii video mpya ya wimbo uitwao wake uitwao Writing on the Wall akiwa amewashirikishi Post Malone, Cardi b na Rvssian.

Bonyeza play kuitazama hii video ya wimbo huo mpya wa French Montana

 

Tupia Comments