Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Joseph Magufuli leo Juni 1, 2020 amekagua maandalizi ya kumbi za mikutano na vikao vya chama vinavyotarajiwa kufanyika hivi karibuni.