Top Stories

Rais Samia asimulia Mwigulu alivyompigia simu Usiku “Nimelala inaita, nikasema nini” (video+)

on

Ni January 4, 2022 ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amepokea taarifa ya utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya UVIKO – 19 Ikulu, Jijini Dar es Salaam.

RAIS SAMIA AAHIDI KUTOA ORODHA MPYA YA MAWAZIRI NA RC “SIFANYI KWAAJILI YA 2025, NISHIKENI MKONO”

Soma na hizi

Tupia Comments