Mkuu wa Mkoa Albert Chalamila akiongea katika Mkutano na waandishi wa habari katika Wilaya ya Mbarali Mkoani Mbeya amemuagiza Kamanda wa Polisi wa Mkoa kuwashughulikia Wananchi waliopigana mishale.
ZAHERA AFUNGUKA “NIMETOA ZAIDI YA MILIONI 100 YANGA, SITOWADAI, WACHEZAJI WAMENIKOPA”