Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brigedia Jeneral Marco Gaguti ametoa maagizo makali kwa waliokopa hela Benki ya Wakulima Kagera zaidi ya Billion 2 na kushindwa kuzirejesha hali iliyopelekea Benki hiyo Kufungwa.
Amewapa siku nne za kujisalimisha Ofisini kwake kabla ya hatua kali kuchukuliwa dhidi yao.
HIZI NDIZO TIMU MBILI KUBWA ZA LIGI KUU YA UINGEREZA ZINAZOMTAKA SAMATTA