Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: RC Singida kuhusu kumuweka Rumande Mganga Mkuu, mwenyewe asema kwanini ameacha kazi
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo March 26, 2023
March 26, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Hanang Mayanja atoa maagizo haya kwa Wakulima Wilayani humo
March 25, 2023
Gigy Money katuletea hii video mpya ‘ogopa’ itazame hapa
March 25, 2023
Picha: Polisi Jamii Cup yazinduliwa Mkoani Manyara
March 25, 2023
Mkurugenzi wa Asas afunguka, ‘Tunawafugaji Elfu 6500, Rungwe na Isanu Busokelo uzalishaji ni mkubwa’
March 25, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Mix > RC Singida kuhusu kumuweka Rumande Mganga Mkuu, mwenyewe asema kwanini ameacha kazi
Mix

RC Singida kuhusu kumuweka Rumande Mganga Mkuu, mwenyewe asema kwanini ameacha kazi

February 2, 2017
Share
2 Min Read
SHARE

Mkuu wa mkoa wa Singida Dr. Rehema Nchimbi ametoa ufafanuzi wa taarifa zilizosambaa kwamba amehusika na uamuzi wa Daktari ambaye ni Mganga mkuu wa Singida vijijini kuacha kazi baada ya kumuweka rumande.

Mkuu wa mkoa ameelezea kisa kizima na ninamnukuu ‘Sihusiki na kuacha kwake kazi, nilimuweka ndani November 26 2016 kipindupindu kiliibuka Singida na nikiwa Njombe, yeye akanyamaza….. lakini inawezekana alikua ana haki ya kunyamaza sababu taratibu zinasema ni mpaka kuwe kuna kesi 5 za Kipindupindu‘

‘Kesi ya 5 ilipatikana tarehe 4 December 2016 hakutangaza, amekuja kutangaza na ni baada ya kufatiliwa tarehe 16 ndio fununu zikasambaa kwamba kuna kipindupindu wakati huo wamekufa watu wawili kutokana na kipindupindu‘

‘Nilimuweka ndani kwasababu hakuwa sawasawa, niliona kabisa kabisa yule fikra na mawazo yake na maadili yake hayakua kazini……. nilimuweka ndani masaa 6 na baada ya muda nilimwambia RPC amwachilie aende afanye kazi’ – RC Dr. Rehema Nchimbi.

Mganga mkuu huyo mwenyewe amesema ‘Mkuu wa mkoa alisema nimechelewa kutoa taarifa kitu ambacho sio sahihi kwasababu nisingeweza kutoa taarifa kama sijathibitisha kama ni ugonjwa wa kipindupindu ama la, nimeacha kazi sababu aliona siwezi kufanya hiyo kazi nikaona nikae tu pembeni… huu ni mwaka wa 10 kama Daktari, nitatafuta tu kazi sehemu nyingine‘

KUSIKILIZA KILA ALICHOSEMA MKUU WA MKOA NA DAKTARI HUYO BONYEZA PLAY HAPA CHINI

You Might Also Like

MAREKANI:Makamu wa rais Kamala Harris kukutana na viongozi wa Ghana, Tanzania na Zambia.

China yapinga uuzwaji wa sehemu ya programu yake “TikTok” kwa kulazimishwa na kutishiwa kufungiwa.

20 wafariki kutokana na virusi vya Marburg nchini E.Guinea.

INDIA: Sheria mpya, kutobadili imani ya kidini yazua gumzo.

Ndoa za jinsia moja zamuibua Makamu wa Rais, atoa tamko ‘hata wanyama hawafanyi’

TAGGED: TZA HABARI
Millard Ayo February 2, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article DC Kigamboni kaongea, sababu 2 zilizofanya aagize Waalimu washushwe vyeo
Next Article VIDEO: Ni kama siku yako haijafika tu, tazama hawa walivyoponea chupuchupu kwenye ajali
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo March 26, 2023
Magazeti March 26, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Hanang Mayanja atoa maagizo haya kwa Wakulima Wilayani humo
Top Stories March 25, 2023
Gigy Money katuletea hii video mpya ‘ogopa’ itazame hapa
Entertainment March 25, 2023
Picha: Polisi Jamii Cup yazinduliwa Mkoani Manyara
Top Stories March 25, 2023

You Might also Like

Top Stories

Mkuu wa Wilaya ya Hanang Mayanja atoa maagizo haya kwa Wakulima Wilayani humo

March 25, 2023
Top Stories

Mkurugenzi wa Asas afunguka, ‘Tunawafugaji Elfu 6500, Rungwe na Isanu Busokelo uzalishaji ni mkubwa’

March 25, 2023
Top Stories

Mfanyabiashara maarufu Marcas ajitosa kuutaka U NEC Arusha, kufuatia kufutwa kwa Uchaguzi mwaka jana

March 25, 2023
Top Stories

Wananchi Wilayani Korogwe wamuomba hili DC Jokate kutafuta ufumbuzi, ‘Changamoto ya Tembo’

March 25, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?