Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Alichosema Makonda kuhusu jina “Philemoni Mbowe” kutatiza orodha ya leo
Share
Notification Show More
Latest News
Utacheka: Mwijaku apanda gari la Diamond ‘Rolls Royce’, Zuchu aangua kicheko, Baba Levo atia neno
August 19, 2022
Picha: Diamond ameingia makubaliano ya kudhamini mashindano ya Ndondo Cup
August 19, 2022
Kuelekea Sensa Agosti 23, Mbunge wa Jimbo la Ushtu anena hili kwa Wananchi wake
August 19, 2022
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 19, 2022
August 19, 2022
Kiwanda cha Chai Mponde Ujenzi wake umefikia 95%
August 18, 2022
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Mix > Alichosema Makonda kuhusu jina “Philemoni Mbowe” kutatiza orodha ya leo
Mix

Alichosema Makonda kuhusu jina “Philemoni Mbowe” kutatiza orodha ya leo

February 8, 2017
Share
1 Min Read
SHARE

Leo February 8, 2017 Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda ameingia kwenye awamu anayoiita ni ya pili kwa kutaja orodha ya watu ambao watahitajika kufika Polisi Central Dar es salaam kusaidia taarifa na maelezo kwenye mapambano ya kutokomeza dawa za kulevya Dsm.

Kwenye orodha hiyo iliyosambaa mitandaoni kwenye jina namba 54 kuliandikwa Philemoni Mbowe na hivyo habari zikaanza kusambaa kwamba sio Freeman Mbowe aliyetajwa.

Jioni hii Paul Makonda amewaambiwa Waandishi wa habari kwamba jina la kwanza kwenye namba 54 lilikosewa na inatakiwa kuandikwa Freeman Mbowe hivyo anaehitajika Ijumaa ni Mheshimiwa Freeman Mbowe.

VIDEO: RC Makonda akitaja orodha ya awamu ya pili, tazama kwenye hii video hapa chini

You Might Also Like

Kiwanda cha Chai Mponde Ujenzi wake umefikia 95%

Muuzaji mbolea ajinyakulia pikipiki ya YARA

Dkt. Mpango akasirishwa na alieweka mikono mfukoni wakati wa Wimbo wa Taifa

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 17, 2022

Mwili wa msimamizi wa uchaguzi wakutwa porini

TAGGED: TZA HABARI
Admin February 8, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Post za Masanja mkandamizaji, Idriss Sultani na Mbasha baada ya orodha ya Makonda leo
Next Article VIDEO: Polisi DSM yasema kinachoendelea kwa Wema Sepetu na Tundu Lissu
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Utacheka: Mwijaku apanda gari la Diamond ‘Rolls Royce’, Zuchu aangua kicheko, Baba Levo atia neno
Entertainment August 19, 2022
Picha: Diamond ameingia makubaliano ya kudhamini mashindano ya Ndondo Cup
Entertainment August 19, 2022
Kuelekea Sensa Agosti 23, Mbunge wa Jimbo la Ushtu anena hili kwa Wananchi wake
Top Stories August 19, 2022
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 19, 2022
Magazeti August 19, 2022

You Might also Like

Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 18, 2022

August 18, 2022
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 16, 2022

August 16, 2022
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 15, 2022

August 15, 2022
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 14, 2022

August 14, 2022
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?