Cristiano Ronaldo na Sergio Ramos jana usiku wameiwezesha klabu ya Real Madrid kutinga kwenye fainali ya UEFA Champions League baada ya kipindi cha miaka 12 – baada ya Real Madrid kuifunga Bayern Munich 4-0 kwenye mchezo wa pili wa nusu fainali uliopigwa kwenye uwanja wa Allianz Arena. Angalia video ya magoli hapo chini…..
Unaweza kuangalia mabao yote ya mchezo wa Real Madrid vs Bayern hapa

Leave a comment
Leave a comment