Stori kubwa kwenye headlines za burudani nchini Marekani ni tuzo za MTV VMA’s 2015, kwenye headlines za tuzo hizo zipo performances za wasanii waliotamba kwenye stage, mastaa waliofanikiwa kuondoka na tuzo na wale wote waliotokea poa kwenye red carpet ya Tuzo hizo.
Mastaa kama Nicki Minaj, Kim Kardashian, Ciara, John Legend, Wale, Kanye West, Amber Rose, Rita Ora na wengine walichukua time na kupiga picha kwenye red carpet kuonyesha swagga na mavazi yao ya usiku huo mkubwa.
Nimezikusanya zile chache za mastaa katika pozi la red carpet, inawezekana nyingine umeziona au hujaziona… karibu uzitazame nyinge kwenye picha hapa chini mtu wangu.
PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos