Hili ni gazeti lililotoka November 2 2012 ambapo lilitoa picha za Ray C alizopigwa muda mfupi baada ya kutumia dawa za kulevya baada ya kunaswa na Mapaparazi.
Baada ya kuweka hiyo picha hapo juu, Ray C alishea na watu wake on instagram kuhusu logo za foundation yake ya kusaidia watu waliopotea kwenye dawa za kulevya.
Picha 4 alizoweka Ray C kwenye instagram na alichoandika.

Leave a comment
Leave a comment