AyoTV

VIDEO: Alichoongea Reginald Mengi baada ya kufika Clouds Media leo

on

Waziri wa habari Nape Nnauye na Mwenyikiti wa Wamiliki wa vyombo vya habari Dr. Reginald Mengi wameitembelea Clouds Media Group baada ya taarifa za Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda kwenda kwenye kituo hicho akiwa na askari wenye silaha…. bonyeza play kwenye hii video hapa chini kutazama

VIDEO: Maamuzi ya Waziri Nape baada ya taarifa ya kuvamiwa Clouds Media Group

Soma na hizi

Tupia Comments