Mfanyabiashara Yusuf Manji leo September 18, 2017 amerejea Mahakamani ikiwa ni siku 4 tangu alipoachiwa huru kwenye kesi ya Uhujumu Uchumi na leo ni muendelezo wa kesi ya dawa za kulevya ambapo leo ilikua ni kusikilizw ushahidi juu ya kesi hiyo.
Ulipitwa na hii? BREAKING: Mahakama ya Kisutu imemuachia huru Yusuf Manji
Hii je? Kilichoikasirisha Mahakama kwenye kesi ya Sethi Sept 14