Kutoka Kibaha Mkoani Pwani zimefanyika sherehe za kumuaga aliyekuwa RPC Pwani ambaye amepelekwa kuwa RPC Kagera, Wankyo Nyigesa na kumkaribisha RPC Mpya wa Pwani Pius Tuli.
Akizungumza wakati wa sherehe hizo, RPC Wankyo pamoja na mambo mengine kwa mara ya kwanza ametangaza dhamira yake ya kwamba anatamani Rais Samia amteua kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) na kusema atafanya kazi kubwa.
SIKU NNE ZA MREMA NDOANI, PENZI MOTO MOTO, AKILISHWA CHAKULA NA MKEWE “HUYU NDIO CHAGUO LANGU”