AyoTV

MO Dewji katuma salamu kwa Yanga SC

on

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba SC Mohammed Dewji ‘MO’ leo ameongea na waandishi wa habari siku moja baada ya Simba SC kutwaa Ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania bara msimu wa 2018/2019.

MO Dewji ameongea na waandishi wa habari na kuwashukuru mashabiki wa Simba na wanachama lakini kabla ya hapo amethibitisha uungwana katika michezo kwa kuwapongeza viongozi wa Yanga SC walioingia madarakani sambamba na kuwatakia kila la kheri msimu ujao waje walete ushindani.

Mapokezi ya Sevilla Tanzania waliokuja kukipiga na Simba SC

Soma na hizi

Tupia Comments