Kijana Rashid Kamba Ally leo Jumatano ya August 23 ameingia kwenye headlines baada ya kutangazwa na kukabidhiwa mfano wa hundi ya Tsh Milioni 80 alizoshinda kutoka Tatu Mzuka, Rashid ameshinda pesa hizo lakini bado hajajua atazifanyia nini au atafanya biashara gani kwa sasa.
Rashid ni kijana mwenye umri wa miaka 21 na amemaliza elimu ya kidato cha nne na alikuwa hana kazi zaidi ya kusubiri pesa ya kupewa kutoka kwa wazazi lakini zamani anasema alifikiria kufanya biashara ya uuzaji wa mazao lakini bado pia hajaiamini hadi sasa.
Pesa kubwa aliyowahi kuishika Rashid ni Tsh ambazo alizipata wakatia anasoma alipokuwa akicheza mchezo na wenzake na hajawahi kushika hela kubwa zaidi ya hiyo, niambie wew mtu wangu kwa kuniandikia comment yako ukishinda au kupata Tsh milioni 80 utazifanyia nini?
VIDEO: Ushindi wa Simba vs Rayon Sports, Simba Day 8 2017 Full Time 1-0