Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

Lori lingine la mafuta lateketea kwa moto, Kamanda aongea

on

Lori jingine la mafuta limeungua moto katika Kijiji cha Ngadinda Halmashauri ya Madaba Ruvuma, Dereva hajapatikana na inasadikiwa kwamba atakuwa ameungua moto, Kamanda wa Polisi amethibitisha kuungua kwa Lori na kusisitiza “Picha mnazoziona mtandaoni ni feki”

Askari wa Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji wakimalizia kuzima moto, lori la mafuta aina ya Scania lililosajiwa kwa namba T243BCU na tela T685 DCV mali ya kampuni ya Njombe Filling Station likiwa limetejetea kwa moto baada ya kupata ajali katika kijiji cha Ngadinda katika Halmashauri ya Madaba Wilayani Songea Mkoani Ruvuma.

Dereva wa gari hilo, Hubert Mpete hajapatikana na inasadikiwa kuwa ameteketea katika moto huo.

DEREVA WA LORI AMUOGOPA MAGUFULI TAZAMA ALIVYOJITETEA “NILIKUWA NAPITA TU”

Soma na hizi

Tupia Comments