AyoTV

VIDEO: Alikiba alivyo-perform Club Taboo South Africa akisindikizwa na Vanessa

on

Ni mwimbaji staa wa Bongofleva Alikiba tena kwenye headlines za Afrika Kusini anakozunguka kufanya ziara mbalimbali za kimuziki ambapo usiku wa jana February 24, 2017 alialikwa kufanya Club Appearance kwenye Club iiitwayo Taboo Johannesburg akiongozana na Vanessa Mdee

Hii video hapa chini ina kila kitu nilichokinasa kupitia camera ya AyoTV

VIDEO: Alikiba alivyohojiwa na Radio Trans ya South Africa, tazama kwenye hii video hapa chini kujionea

FULL VIDEO: Show ya Alikiba Durban South Africa unaweza kuitazama kwenye hii video hapa chini

Unazitaka BREAKING NEWS na stori zote? ungana na mimi Ripota wako wa nguvu Millard Ayo kwenye Facebook Twitter Instagram na Youtube na atakuletea matukio yote ya picha, video na habari iwe usiku au mchana…. bonyeza hapa >>> FB Twitter Instagram YouTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments