Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Matokeo ya darasa la Saba, Iptisam apiga ufaulu wa ‘A’
Share
Notification Show More
Latest News
Jorginho aondoka Chelsea na kusaini Arsenal
February 1, 2023
Rais Samia ashtukia mchezo mchafu hela za Plea Bargain
January 31, 2023
Rais Samia ainyooshea kidole Polisi, Magereza
January 31, 2023
Waliokutwa na meno ya tembo wahukumiwa miaka 20 jela (+video)
January 31, 2023
Maji ya ajabu yanayotoka bombani Johannesburg
January 31, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Matokeo ya darasa la Saba, Iptisam apiga ufaulu wa ‘A’
Top Stories

Matokeo ya darasa la Saba, Iptisam apiga ufaulu wa ‘A’

December 1, 2022
Share
1 Min Read
SHARE

Mtahiniwa Iptisam Suleiman Slim wa Shule ya Msingi Chalinze Modern Islamic ‘Pre and Primary School’ amefaulu kwa wastani wa A katika matokeo ya Darasa la Saba yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) leo December 01, 2022.

Matokeo ya Iptisam yamekuwa yakifuatiliwa tangu lilipoibuka sakata lake la kwamba alibadilishiwa namba yake ya mtihani wakati anafanya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi uliofanyika October 5 na 6, 2022.

Katika matokeo yake ambayo Ayo TV na millardayo.com imeyashuhudia Iptisam amepata Kiswahili A, English A, Maarifa A, Hisabiti B, Sayansi A, Uraia B, wastani wa A, namba zake za mtihani ni (PS1408009-0039).

You Might Also Like

Rais Samia ashtukia mchezo mchafu hela za Plea Bargain

Rais Samia ainyooshea kidole Polisi, Magereza

Waliokutwa na meno ya tembo wahukumiwa miaka 20 jela (+video)

Maji ya ajabu yanayotoka bombani Johannesburg

Biden akataa kutuma ndege za kivita Ukraine

Edwin TZA December 1, 2022
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Mwenyekiti wa UVCCM Taifa ashiriki maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani
Next Article Video: Marioo ametuletea hii video mpya ya ‘My Life’ itazame hapa
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Jorginho aondoka Chelsea na kusaini Arsenal
Sports February 1, 2023
Rais Samia ashtukia mchezo mchafu hela za Plea Bargain
Top Stories January 31, 2023
Rais Samia ainyooshea kidole Polisi, Magereza
Top Stories January 31, 2023
Waliokutwa na meno ya tembo wahukumiwa miaka 20 jela (+video)
Top Stories January 31, 2023

You Might also Like

Top Stories

Rais Samia ashtukia mchezo mchafu hela za Plea Bargain

January 31, 2023
Top Stories

Rais Samia ainyooshea kidole Polisi, Magereza

January 31, 2023
Top Stories

Maji ya ajabu yanayotoka bombani Johannesburg

January 31, 2023
Top Stories

Biden akataa kutuma ndege za kivita Ukraine

January 31, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?