Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu nchini Joyce Fisso amezungumza na AyoTV na millardayo.com na kueleza mashariti waliyompa muigizaji Wema Sepetu ndani ya miezi sita ambayo kama atatekeleza kila siku basi atajiwekea mazingira mazuri yakufutiwa adhabu yake.
Katibu Joyce Fisso ameongezea kwa kusema wao kama Bodi hawatatengua maamuzi kwa Wema endapo hawataona mabadiliko na wanamfuatilia kwa karibu zaidi ili kubaini hilo. Bonyeza PLAY hapa chini kutazama video.
USIPITWE NA HII.. ILIVYOZINDULIWA STARLINE FILMS BODI YA FILAMU YA SHIRIKI