Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: “Sababu ya CHADEMA ndoa nyingi zimevunjika” Mbowe
Share
Notification Show More
Latest News
Picha: Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris awasili nchini Ghana
March 27, 2023
Kenya:Mmoja auawa kwa kupigwa risasi kwenye vurugu za maandamano kisumu.
March 27, 2023
Katibu Tawala msaidizi Mkoa wa Morogoro awaagiza hili watumishi wa Halmashauri za Wilaya
March 27, 2023
Aliyemzushia DAS taarifa za uongo Jela kifungo Mwaka mmoja
March 27, 2023
Waziri Nape kufungua Mkutano wa Wahariri Mkoani Morogoro
March 27, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > “Sababu ya CHADEMA ndoa nyingi zimevunjika” Mbowe
Top Stories

“Sababu ya CHADEMA ndoa nyingi zimevunjika” Mbowe

December 17, 2019
Share
1 Min Read
SHARE

Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe, amesema amekuwa akishangazwa na watu wanaoohoji kwa nini chama hicho kimekuwa kikifanyia mikutano yake katika kumbi zenye bei ghali na kusema kuwa chama hicho hakihubiri umasikini na kwamba wataendelea kuwa juu.

Mbowe amezungumza hayo wakati wa Mkutano wa Baraza Kuu la chama hicho, unaoendelea katika Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam na kwamba wao hawataukiri umasikini bali wataendelea kuhubiri utajiri kwakuwa wanachama wake wengi wamepitia maumivu mengi sana.

“Ukumbi wa Mlimani City haututoshi tungetamani tungekuwa na ukumbi mzuri zaidi kuliko huu, lakini hakuna tutabanana humu humu, tuna wivu na chama chetu” Mbowe

“Tuna wivu kwa sababu kuna watu wana maumivu makubwa, kunawatu wamefungwa, wamepata ulemavu sababu ya chama hichi, kuna Ndoa nyingi zimevunjika shauri ya chama chetu, yote tumeyavumilia sababu tuna ndoto kubwa” Mbowe.

MBOWE AACHIA NAFASI YA UENYEKITI CHADEMA “SIO MAPENZI YETU NI KATIBA”

You Might Also Like

Picha: Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris awasili nchini Ghana

Kenya:Mmoja auawa kwa kupigwa risasi kwenye vurugu za maandamano kisumu.

Katibu Tawala msaidizi Mkoa wa Morogoro awaagiza hili watumishi wa Halmashauri za Wilaya

Aliyemzushia DAS taarifa za uongo Jela kifungo Mwaka mmoja

Waziri Nape kufungua Mkutano wa Wahariri Mkoani Morogoro

TAGGED: TZA HABARI
Pascal Mwakyoma TZA December 17, 2019
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Afisa Madini apewa siku mbili “zinahitaji taarifa rasmi za mgogoro” (+video)
Next Article Mwigizaji wa Kenya amefunguka alivyotoka kimapenzi na Alikiba na kumchora Tattoo
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Picha: Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris awasili nchini Ghana
Top Stories March 27, 2023
Kenya:Mmoja auawa kwa kupigwa risasi kwenye vurugu za maandamano kisumu.
Top Stories March 27, 2023
Katibu Tawala msaidizi Mkoa wa Morogoro awaagiza hili watumishi wa Halmashauri za Wilaya
Top Stories March 27, 2023
Aliyemzushia DAS taarifa za uongo Jela kifungo Mwaka mmoja
Top Stories March 27, 2023

You Might also Like

Top Stories

Picha: Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris awasili nchini Ghana

March 27, 2023
Top Stories

Kenya:Mmoja auawa kwa kupigwa risasi kwenye vurugu za maandamano kisumu.

March 27, 2023
Top Stories

Katibu Tawala msaidizi Mkoa wa Morogoro awaagiza hili watumishi wa Halmashauri za Wilaya

March 27, 2023
Top Stories

Waziri Nape kufungua Mkutano wa Wahariri Mkoani Morogoro

March 27, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?