Habari za Mastaa

Saida Karoli “Nilidhani nitakufa kabla ya Ruge, Dr. Mengi kanipigania kaondoka” (+video)

on

Msanii Saida Karoli aweka wazi kwa wanaosema hakuwepo kwenye msiba wa Ruge Mutahaba ambaye ni miongoni mwa watu ambao walimshika mkono na kumuinua

Saida Karoli >>> “msibani nilikuwepo ila hali yangu haikuwa nzuri nilijifunika kitenge kichwani, mtandio, koti kubwa na miwani nyeusi nikaenda kuaga pale uwanjani nilipotoka hapo nikaenda hadi nyumbani kwake”

BREAKING LIVE AFRIKA KUSINI: WATANZANIA WADAIWA KUUAWA NA WENYEJI

Soma na hizi

Tupia Comments