Michezo

Hii ndio list ya waliomuwezesha Mbwana Samatta kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa Afrika …

on

Najua headlines kwa sasa ni stori za mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga katika klabu ya TP Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mbwana Aly Samatta kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa Afrika kwa wachezaji wanaocheza Ligi ya ndani ya Afrika.

IMG_20160108_041315 (1)

Baada ya tuzo kumalizika, Samatta alilala hivi

Lakini imenifikia list ya waliomuwezesha Samatta kutwaa tuzo hiyo na kuwashinda golikipa TP Mazembe Robert Mutebe Kidiaba wa Kongo na Baghdad Bounedjah mualgeria anayeichezea klabu ya Etoile du Sahel ya Tunisia. Kama ulikuwa hujui tuzo hiyo upigiwa kura na makocha wa timu za taifa, ila baada ya utolewaji wa tuzo kumalizika shirikisho la soka la Afrika CAF lilitoa list kamili ya makocha waliompigia kura Samatta.

ranm2ranm23

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Tupia Comments