Michezo

Ushindi ni wa Mtanzania Mbwana Samatta Tuzo za mabingwa wa soka Afrika

on

Usiku wa kuamkia January 08 2016 najua kuna Watanzania ambao macho na masikio yao yalielekezwa Nigeria ambako zilikuwa zinatolewa Tuzo za wakali wa soka Afrika.

Good news ni kwamba staa wa soka ambaye amekiongoza kikosi cha TP Mazembe kufanya vizuri michuano ya Afrika, Mtanzania Mbwana Samatta amefanikiwa kuibuka na ushindi wa Tuzo ya mchezaji bora wa soka Afrika mwaka 2015 kwa wachezaji wanaochezea Afrika.

Hapa nina nukuu ya Tuzo mbalimbali zilizotolewa kwa wakali wa soka 2015.

KIKOSI BORA CHA AFRIKA 2015 >>> Golikipa Robert Kidiaba (Congo), Mabeki ni Serge Aurier (Ivory Coast) Aymen Abdennour (Tunisia) Mohamed Meftah (Algeria) VIUNGO ni Andre Ayew (Ghana) Yaya Toure (Ivory Coast) Sadio Mane (Senegal) Yacine Ibrahimi (Algeria) WASHAMBULIAJI: Mbwana Samatta (Tanzania) Pierre Emerick Aubameyang (Gabon) Baghdad Bounedjah (Algeria)

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments