Ni Agosti 30, 2022 ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alifungua Kikao Kazi cha Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi Makao Makuu, Makamanda wa Polisi wa Mikoa/Vikosi katika Shule ya Polisi Tanzania (TPS) iliyoko wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro.