Muigizaji Mwijaku amezungumza kuhusu ndoa yake aliyoifunga hivi karibuni ambapo amesema kuwa watu wengi hawa kuamini kama yeye kafunga ndoa kutokana na ndoa ya maigizo aliyowai kufunga hapo kipindi cha nyuma iliyosambaa na kuibua story tofauti mitandaoni.
Mwijaku ameongezea kwa kusema ilimbidi asiombe michango ya harusi kutokana na watu wengi kuhisi huwenda itakuwa ni maigizo. Bonyeza PLAY hapa chini kuitazama FULL INTERVIEW
UMEIONA HII YA EBITOKEE..? KAFUNGUKA KILICHO MUONDOA TIMAMU, JE NI KWELI KADHULUMIWA?