February 7, 2019 Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu ametolea ufafanuzi kauli ya Mbunge wa Viti Maalum CCM Jacqueline Msongozi alieyeshauri Bunge kuanzisha utaratibu wa kuwafanyia tohara Wabunge wa kiume ambao bado hawajafanyiwa huduma hiyo ili kusaidia kujikinga na magonjwa ambukizi.
MBUNGE ATAKA WANAUME WATAHIRIWE BUNGENI “WAKAGULIWE”