Top Stories

Duuh! Mama anatumia ugoro kupunguza hamu ya tendo la ndoa, mtazame (+video)

on

Baadhi ya wanawake Wilayani Urambo Mkoa wa Tabora wanatumia ugoro kama dawa ya kupanga uzazi na kumaliza hamu ya kufanya mapenzi, Asha Said ni miongoni mwa wanawake waliowahi kutumia.

“Wanawake sisi tukiachwa na mume muda mrefu lazima ujisikie hisia na sisi wajane inatusaidia maana huwezi kuwa unatangatanga unaweza ukaangukia mwanaume ambaye ana magonjwa” Asha Said 

DAAH! NG’OMBE WA AJABU AWASHANGAZA WABUNGE, WAANGUA VICHEKO WAKIMTAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments