Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Kwa mara ya kwanza Serikali sasa kupata 75% ya mapato ya Mafuta na Gesi
Share
Notification Show More
Latest News
Jorginho aondoka Chelsea na kusaini Arsenal
February 1, 2023
Rais Samia ashtukia mchezo mchafu hela za Plea Bargain
January 31, 2023
Rais Samia ainyooshea kidole Polisi, Magereza
January 31, 2023
Waliokutwa na meno ya tembo wahukumiwa miaka 20 jela (+video)
January 31, 2023
Maji ya ajabu yanayotoka bombani Johannesburg
January 31, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Kwa mara ya kwanza Serikali sasa kupata 75% ya mapato ya Mafuta na Gesi
Top Stories

Kwa mara ya kwanza Serikali sasa kupata 75% ya mapato ya Mafuta na Gesi

November 25, 2022
Share
1 Min Read
SHARE

Baada ya miaka 12 Serikali ya Tanzania imesaini mkataba wa uzalishaji na ugawanaji mapato (PSA) kitalu cha RUVUMA – MTWARA.

Mkataba huu unaweka utaratibu wa serikali kupata zaidi. Kwa mara ya kwanza Serikali inapata kwenye Mapato ghafi (Gross) ambapo Kwenye huu mkataba serikali inapata 75%, ukilinganisha na huko nyuma ambapo ilikua inapata 68% kushuka chini.

Mara baada ya kusaini mkataba huo Waziri wa Nishati, January Makamba amesema >> “Siku hii ni kubwa na ya Kihistoria sababu Serikali inaenda kupata asilimia 75 ya Mapato Ghafi. Hii ndo tafsiri ya win-win na kazi hii imefanywa ndani ya mwaka mmoja. Wito wangu kwa wawekezaji ni SPIDI SPIDI SPIDI! Nawataka tufanye kwa haraka. Nataka ndani ya miezi 12 hadi 18 tuanze kutumia hii Gesi”. – Waziri Makamba.

You Might Also Like

Rais Samia ashtukia mchezo mchafu hela za Plea Bargain

Rais Samia ainyooshea kidole Polisi, Magereza

Waliokutwa na meno ya tembo wahukumiwa miaka 20 jela (+video)

Maji ya ajabu yanayotoka bombani Johannesburg

Biden akataa kutuma ndege za kivita Ukraine

Edwin TZA November 25, 2022
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Picha: Rosa Ree atambulisha jina la album yake mbele ya waandishi wa habari
Next Article Picha:Kamo Mphela tayari amewasili Dar, kutoa burudani Elements Masaki Usiku wa leo
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Jorginho aondoka Chelsea na kusaini Arsenal
Sports February 1, 2023
Rais Samia ashtukia mchezo mchafu hela za Plea Bargain
Top Stories January 31, 2023
Rais Samia ainyooshea kidole Polisi, Magereza
Top Stories January 31, 2023
Waliokutwa na meno ya tembo wahukumiwa miaka 20 jela (+video)
Top Stories January 31, 2023

You Might also Like

Top Stories

Rais Samia ashtukia mchezo mchafu hela za Plea Bargain

January 31, 2023
Top Stories

Rais Samia ainyooshea kidole Polisi, Magereza

January 31, 2023
Top Stories

Maji ya ajabu yanayotoka bombani Johannesburg

January 31, 2023
Top Stories

Biden akataa kutuma ndege za kivita Ukraine

January 31, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?